Hot newz | Ngoma za town| Sports | Advertisement | Infokitaa | Gossip | Entertainment | Comedy |
Thursday, 29 May 2014
NA HUU NDO MTONYO UTAKAOTUMIKA KATIKA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA DIAMOND
Msanii daimond platnamz
Gharama hizo za Dola elfu 25 ($25,000) hazitajumuisha gharama za kumsafirisha Iyanya kutoka Nigeria pamoja na malazi na kila kitu anapokua nchini Uingereza. Kwasasa Diamond Platnumz yupo nchini Ghana ambapo anategemea kufanya kolabo nyingine na Davido itakayowahusisha pia Tiwa Savage wa Nigeria na Mafikizolo wa South Africa ikiwa ni kampeni ya kituo kimoja kikubwa cha TV barani Afrika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment