Mmoja kati ya wasanii wanaounda kundi la p square peter okoye kaamua kutoka katika muonekano mpya baada ya kukata nywele zote . Kupitia mtaandao wa kijamii wa instagrm msanii huyo member wa kundi la p square aliandika maneno haya "shaved it all off ........ new look in progress.
Muonekano wa peter okoye
No comments:
Post a Comment