Hatma ya msanii wa hip hpo na aliyekuwa member wa kundi la weusi lord eyez aliekuwa amesimamishwa kwa kile kinachodaiwa kufanya mambo kinyume na utaratibu wa kundi ikiwa ni pamoja na kudaiwa kuliahibisha kundi itafahamika hivi karibuni hayo yaliemwa na Niki.
Niki aliweka wazi swala hilo alipokuwa akichati kwenye ukurasa wa facebook wa EATV na kusema hatma ya msann lord eyez ambae alisimamishwa na kudai atarudishwa soon na maamuzi hayo hayawezi tolewa na mtu mmoja maana weusi ni kamuni na si mtu mmoja.
No comments:
Post a Comment