Kupitia account yake ya Instagram icon wa bongo movie irene uwoya amepost picha za gari aina ya range rover lakini kama haitoshi chini ya miongoni mwa hizo picha kilikuwa na maneno haya. "Haters watasubiri sana"
Mwanadada huyo mwenye mbwembwe kalibatiza jina gari Hilo na kasema linaitwa baby.
Wabongo hawaishi maneno wengine walisikika wakisema ameazima lakini uwoya aliishia kucheka .
Noma sana bongo movie inalipa......
No comments:
Post a Comment