tangazo

Tuesday, 20 May 2014

HATIMAYE MUIGIZAJI ADAM KUAMBIANA AZIKWA LEO KATIKA MAKABURI YA KINONDONI.

     Hatimaye msanii wa bongo movie Adam kuambiana amezikwa leo katika makaburi ya kinondoni, wadau na wasanii wa tasnia ya bongo movie walikusanyika katika viwanja vya leaders kwa ajili ya kutoa salamu zao za mwisho kwa mwili wa marehemu Adam kuambiana aliefariki kwa matatizo ya vidonda vya tumbo vilivyopelekea kifo chake
    msanii huyo aliwahi kucheza filamu nyingi ameacha majonzi makubwa katika tasnia ya bongo movie huku watu wakibaki wenye simanzi kubwa kwa kuondika kwa nguli huyo wa movie

      Hizi ni picha za yaliyojili katika kuuwaga mwili na kuupumzisha katika makaburi ya kinondoni
.
                                             Ndugu na jamaa wakiuaga mwili wa marehemu
                                          Steve nyerere akitoa maelekezo katika msiba huo.
                                              sehemu ya waombolezaji wa msiba huo

          

wema na aunt ezekieli wakiwa na majonzi




No comments: