tangazo

Wednesday, 25 December 2013

ETI MAMA YAKE KIM KARDASHAN NI KICHECHE

              Kris Jenner 
Utata kuhusu uaminufu wa kris Jenner ambae ni mama wa Kim kardashan,khloe na kortney,unaanza kudhihirika kwani watu wa karibu wa familia hiyo wameanza kufunguka kuhusu uhusiano wake na wanaume wa nje.
  Baada ya kuwapo tetesi za kuwa mmoja ya wanafamilia ya kardashan,khloe,ni mtoto wa nje wa hatimaye imebainika kuwa mcheza soka wa marekani aliyepo marekani  OJ Simpson ndiye baba yake mzazi 
   Wakili wa Simpson pardo amesema ana uhakika kuwa khloe ni mtoto wa Simpson kutokana na ukaribu wa familia ya kardashan na jinsi wanavyofanana
    Mara kadhaa huwa ninamwambia Simpson kuwa khloe ni binti yake ,huwa hajibu chochote zaidi huwa anacheka" anasema pardo.

No comments: