Mkali wa muziki wa bongo flava rich mavoko amepata dili nono nchini burundi. kwa mujibu wa chanzo cha habari dili hilo ni kuwainua wasanii wachanga na kuwapo moyo.mchongo huo ambao uko chini ya kampuni ya Ikoh ya nchini humo na zaidi msanii huyo amepata dili la kutumbuiza katika tamasha kumbwa litakalofanyika december mwaka huu.
,
No comments:
Post a Comment