Akiongea na mhariri wa ukurasa huu msanii huyo mwenye kipaji cha aina yake alisema " Nazindua video yangu kwa mara ya kwanza ndani ya maisha club hivyo nawaomba mashabiki wangu waje kwa wingi kushuhudia kile kilichokuwa kikisubiliwa kwa muda mrefu
Aidha mavoko aliongeza kusema kuwa wimbo huo ni miongoni mwa nyimbo zitakazokuwemo katika album yake inayokwenda kwa jina la "moyo wangu" ikiwa na jumla ya nyimbo kumi.
1 comment:
utazinduliwa sio utaInduliwa
Post a Comment