tangazo

Wednesday, 18 December 2013

MANDELA ATUMIA PASPORT YA TANZANIA


       Marehemu  Nelson Mandela 

 Jumapili iliuopita ndiyo siku ambayo rais wa kwanza mwenye asili ya afrika (mweusi) marehemu Nelson  Mandela alizikwa baada ya siku kumi kupita tokea msiba wake kutokea .
   Kati ya viongozi waliohudhuria katika msiba huo ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete wa Tanzania ambapo alipata fursa ya kuhutubia na kueleza kwa ufupi historia ya marehemu na mahusiano yake na nchi ya Tanzania, ambapo alifichua jambo ambalo halikujulikana hapo awali
     Kikwete katika hotuba yake alisema kuwa marehemu Nelson Mandela kuwahi tumia hati ya kutafuta ya Tanzania ikiwa ndo hati ya kwanza kutumiwa na marehemu huyo maishani mwake 
Msiba huo ulihudhuriwa na viongozi mbali mbali kutoka  pande za dunia.

No comments: