tangazo

Tuesday, 17 December 2013

LULU AKANA KUTOKA NA YOUNG DEE.



 Mwanadada hot kwenye industry ya bongo movie Elizabeth Michael  'Lulu' amekanusha taarifa zilizozagaa kwamba anatoka kimapenzi na mkali wa hip hop David Genzi  'Young Dee'
 Akizungumza na dalali wa blog hii mwanadada huyo amesema anashangaa taarifa hizo kuzagaa kwa kasi wakati  anadai hazina ukweli wowote 
" Inashangaza kwa kweli kwanza kabisa nilipigiwa na baadhi kuwa wamesikia tukio la mimi kufumaniwa na young dee  na cha kushangaza mimi sijawahi hata mfikiria young dee kimapenzi "Alisema Lulu halikadhalika yeye hajawahi nitamkia kitu chochote kuhusu mapenzi japokuwa tumewahi fanya kazi pamoja na gari wanalolitaja mi sijawahi litumia wala kulimiliki.

1 comment:

Unknown said...

wameiwai kufanya kazi gani?
kama sio iyo haaahaaaaaaa young dee bwana aogopi kula vitu vya kaka zake......wakiulizwa kuhusu hilo watakujibu hizo ni fununu