tangazo

Wednesday, 6 November 2013

Sharo milionea kukumbukwa November 26

 Ikiwa ni mwaka mmoja tangu amefariki dunia marehemu Hussein mkiety maarufu kama sharo milionea.Dua ya kumkumbuka itasomwa  November 26 Mwaka huu. Akiongea na mhariri mpekuzi wa blog hii mchekeshaji wa kike sherry magali alisema ameandaa hiyo itakayosomwa nyumbani kwake mabibo.
  "Mimi na sharo molionea tumezaliwa siku moja na sharo amefariki siku yake ya kuzaliwa hivyo nimeona ni vyema kufanya hivyo kwa lengo la kumkumbuka.

      Marehemu  sharo milionea.

No comments: