tangazo

Wednesday, 6 November 2013

Ay aliombwa kolabo na Inyaya wa Nigeria.

           Ambwene Yesaya  'AY'

Mwanamuziki mwenye kiwango cha hali ya juu kwenye game muziki wa kizazi kipya anaefanya vizuri levo za kimataifa ambwene Yesaya  'Ay' amefunguka kuwa msanii kutoka nchini Nigeria alikuwepo kwenye orodha ya wasanii wa kimataifa waliokuwa wamealikwa kwenye tamasha la fiesta 2013.Inyaya alimuomba Ay kolabo baada ya kuvutiwa na uwezo wake akipiga stori na mtandao mmoja wa hapa bongo Ay amesema hiyo ni mara yake ya kwanza kuombwa kolabo na msanii mkubwa kama Inyaya tofuti na kipindi cha nyuma ambapo yeye ndo alikuwa  anahangaika kutafuta wasanii wakubwa wa kimataifa kuomba kolabo.
   Ni heshima kubwa kwangu na kwa game ya bongo fleva jamaa kazikubali Zangu ndo maana kaomba kolabo na ntahakikisha namfanyia kazi nzuri ili kulinda heshima yangu.

            Inyaya wa nigeria

No comments: