Ikiwa ni muda mchache tangu alipozindua video ya my number one ambayo imefanyika south afrika hitmaker wa single hiyo diamond platnumz amesema itamulazimu kukwea pipa mpaka nigeria kwa ajili ya kwenda kutengeneza kichupa cha remix ya ngoma ya my number one ambayo amaeifanya na mkali toka nigeria davido adedeji
Remix ya my number one ilikuwa ifanyike jumapili october 27 lakini zoezi hilo lilishindikana kutokana na matatizo yaliyojitokeza kwenye tamasha la fiesta diamond aliandika ujumbe huo kupitia mtandao wa instagram.
No comments:
Post a Comment