Kweli mapenzi ni kama upofu msemo huo umedhihika pale mwanamuziki alipoibuka na kusema mchumba wake ni zaid ya michelle obama(Mke wa rais wa marekani Barack obama) maneno hayo aliyasema rapa huyo alipokuwa akihojiwa na kipondi kimoja cha television.
Kanye west akaongeza kuwa mchumba wake kim kardasian anaushawishi mkubwa kuliko michele obama hii unatoa na na michelle Obama hajafanya mahojiano na majarida mengi kama ilivyo kwa Kim kardadian.
No comments:
Post a Comment