tangazo

Thursday, 29 May 2014

PETER OKOYE NDANI YA MWONEKANO MPYA.

Mmoja kati ya wasanii wanaounda kundi la p square peter okoye kaamua kutoka katika muonekano mpya baada ya kukata nywele zote . Kupitia mtaandao wa kijamii wa instagrm msanii   huyo member wa kundi la p square aliandika maneno haya     "shaved it all off   ........ new look in progress.


                                     Muonekano wa peter okoye




NA HUU NDO MTONYO UTAKAOTUMIKA KATIKA UTENGENEZAJI WA VIDEO MPYA YA DIAMOND



                                                  Msanii daimond platnamz

Gharama hizo za Dola elfu 25 ($25,000) hazitajumuisha gharama za kumsafirisha Iyanya kutoka Nigeria pamoja na malazi na kila kitu anapokua nchini Uingereza. Kwasasa Diamond Platnumz yupo nchini Ghana ambapo anategemea kufanya  kolabo nyingine na Davido itakayowahusisha pia Tiwa Savage wa Nigeria na Mafikizolo wa South Africa ikiwa ni kampeni ya kituo kimoja kikubwa cha TV barani Afrika.




Thursday, 22 May 2014

WAZIRI WA MALAWI AJIUWA KWA KUSHINDWA KATIKA UCHAGUZI

   Waziri mmoja nchini malawi amejiua  baada ya kupoteza kiti chake cha ubunge polisi wa nchi hiyo wamesema. Naibu huyo wa serikali za mitaa  Godfrey kamanya alijiua kwa kujipiga risasi nyumbani kwake lilongwe  na kuacha ujumbe kwa rais Joyce Banda kuwa amlee na kumsomesha.

                  wasimamizi wa uchaguzi wakiwa kazini kaika vituo vya kupia kura

  Msemaji wa mbunge huyo alikanusha kama huyo Godfrey kamanya alijiua baada ya kukikosa kiti cha ubunge alichokuwa akikitetea. Hata hivyo matokeo ya uchaguzi huo bado hayajatangazwa lakini uchaguzi huo huo ulikuwa ni wenye ushindani sana.

HATMA YA LORD EYEZ KURUDI WEUSI KUJULIKANA HIVI KARIBUNI

      Hatma ya msanii wa hip hpo na aliyekuwa member  wa kundi la weusi lord eyez aliekuwa amesimamishwa kwa kile kinachodaiwa kufanya mambo kinyume na utaratibu wa kundi ikiwa ni pamoja na kudaiwa  kuliahibisha kundi itafahamika hivi karibuni hayo yaliemwa na Niki.




   Niki aliweka wazi swala hilo alipokuwa akichati kwenye ukurasa wa facebook wa EATV  na kusema hatma ya msann lord eyez ambae alisimamishwa na kudai atarudishwa soon na maamuzi hayo hayawezi tolewa na mtu mmoja maana weusi ni kamuni na si mtu mmoja.