Amini usiamini pesa ndo kila kitu kwa maish ya sasa kwani inaweza kufanya kila kitu katika maisha ya kila siku. kitu kilichowashangaza watu wengi ni pale mtoto wa bakharesa aliooamua kuagiza special order ya gari aina ya brabus kwa mujibu wa wachunguzi wa mambo gari hyo ni ghari inafikia thamani ya milioni 805 za kitanzania . gari hiyo pia inamilikiwa na mmiliki wa club ya manchester.
gari hiyo aina ya brabus
gari hii ni special order kwa ajili ya yusuph bakharesa
nani mwenye gari kama hii hapa bongo
huu ndo mwonekano wa nyuma
huyu ndo dereve anaeendesha gari hiyo
1 comment:
kila kitu kinawezekana mbona....work hard
Post a Comment