Baada ya kuwa kizuizini kwa muda kidogo nchini south afrika ambako mwanadada agness gerald alikuwa akishikiliwa kwa kosa la kusafirisha kemikali zinazotumika kutengenezea madawa ya kulevya hatimaye masogange karejea nyumbani. Jana kupitia acount yake ya instagram alipost picha huku ikiwa na ujumbe wa am cmng home
|
muda mchache baada ya masogange kutua bongo. |
No comments:
Post a Comment