Katika kuonyesha kurudi kivingine wakongwe kwenye game ya bongo flava wanarudi ndani ya ngoma moja ambayo bila shaka itawafanya waendelee kufanya vizuri katika industry hii ya bongo flava
wakali hao wa kitambo kwenye game hii wamerudi ili mashabiki watambue uwepo wao na uwezo wao katika game ya bongo fleva ambayo kwa sasa imevamiwa na vijana wengi
T.i.d mnyama
Cassim mganga
Mkali wa micharazo mr blue
No comments:
Post a Comment