tangazo

Saturday, 21 September 2013

KWA MAKALA HII ILIYOANDIKWA NCHINI BOTSWANA NI WAZI FEZZA KESSI KACHOKWA NA WANA BOTSWANA

     Kataka hali ambayo haijatrajiwa na ni mapema sana wananchi wa botswana kumweleza maneno kama haya mmoja ya washiriki wa big brother chase 2013
     Galatetsang molabi kupitia mtandao wa 1980 sumn ' Fezza inatikiwa arudi kwao akautumie umaarufu aloupata kupitia ushiriki wake wa big brother.
 Molabi akaendelea kutiririka za kuwa sio kasema hivyo katika mtizmo mbaya ila ni kwa kuwa tangu  Fezzy amfuate Oneal nchini humo hajapata hata show moja kuonyesha watu kuutambua uwepo pale alipo kitu ambacho kimewashangaza wabotswana wengi.

No comments: